Mmbunge aliyepigwa ‘remove kwenye group la whatsapp’ la chadema joseph selasini atangaza kuhamia nccr- mageuzi

Mbunge
wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasini, leo Aprili 28, 2020 ametangaza
rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga
na chama cha NCCR-Mageuzi baada ya kumalizika kwa vikao vya  Bunge.


Jana,
Selasini alidai kutengwa na wabunge wenzake wa chama chake cha CHADEMA
ikiwemo  kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye ‘Group la WhatsApp’ la
Wabunge wa chama hicho  ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama Freeman
Mbowe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *