Mbunge mtaturu awashukuru wananchi wa singida mashariki,ataja vipaumbele saba atakavyoanza navyo

E79A7320-EditedAAA

Gari la Mbunge
wa Jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu akiwasili katika jimbo
hilo kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa ushindi waliompatia.

E79A7323-EditedAAA E79A7325-EditedAAA E79A7327-EditedAAA E79A7328-EditedAAA E79A7330-EditedAAA

MBUNGE wa Jimbo
la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu,akipokelewa kwa shangwe na
mafaruko ya wananchi wake na Chama cha Mapinduzi(CCM) kutoka Bungeni
Dodoma,alipowasili jimboni kwake kutoa shukrani za ushindi wa CCM.

E79A7352-EditedAAA E79A7355-EditedAAAE79A7362-EditedAAAE79A7364-EditedAAA

MBUNGE wa Jimbo la Singida
Mashariki, Miraji Mtaturu,akifurahia na wananchi wake pamoja na Chama
cha Mapinduzi(CCM) baada ya kuwasili jimboni humo akitokea Bungeni
Dodoma,kwa ajili ya kutoa shukrani kwa ushindi waliompatia kuliongoza
jimbo hilo kwa miaka mitano tena.

E79A7380-EditedAAA E79A7445-EditedAAAE79A7454-EditedAAA

E79A7481-Edited-1024x682

MBUNGE wa Jimbo la Singida
Mashariki, Miraji Mtaturu,akicheza ngoma baada ya kuwasili jimboni humo
akitokea Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa shukrani kwa ushindi
waliompatia kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano tena.

E79A7499-EditedAAA

MBUNGE wa Jimbo la Singida
Mashariki, Miraji Mtaturu,akiwa na Mwenyekiti Wilaya ya Ikungi ,Mika
Likapakapa wakipiga makofi kwa vikundi vya ngoma (havipo pichani) baada
ya kuwasili jimboni humo akitokea Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa
shukrani kwa ushindi waliompatia kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano
tena.

E79A7527-Edited-1024x682 E79A7533-Edited-1024x682

MBUNGE wa Jimbo la Singida
Mashariki, Miraji Mtaturu,akvishwa vitu vya kimila na Wazee baada ya
kuwasili jimboni humo akitokea Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa
shukrani kwa ushindi waliompatia kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano
tena.

E79A7589-Edited-1024x682

MBUNGE wa Jimbo la Singida
Mashariki, Miraji Mtaturu,akiwashukuru wananchi wake pamoja na Chama
cha Mapinduzi(CCM) kwa kumpatia zawadi mara baada ya kuwasili jimboni
humo akitokea Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa shukrani kwa ushindi
waliompatia kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano tena.

E79A7547-Edited-1024x682 E79A7557-Edited-1024x682

MBUNGE wa Jimbo la Singida
Mashariki, Miraji Mtaturu,akiwa ameshikiria silaha za jadi baada ya
kukabidhiwa na Wazee mara baada ya kuwasili jimboni huko akitokea
Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa shukrani kwa ushindi waliompatia
kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano tena.

E79A7565-Edited-1024x682

Mzee Maarufu Ikungi Bw.Hussein
Sungita akitoa neno kwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Miraji
Mtaturu,(hayupo pichani) baada ya kuwasili jimboni humo akitokea
Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa shukrani kwa ushindi waliompatia
kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano tena.

E79A7603-Edited-1024x682

Katibu wa Wilaya ya Ikungi
Kangaeli Akyoo akizungumza na wananchi waliojitokeza kumpokea Mbunge wao
wa Jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu mara baada ya kuwasili
jimboni humo akitokea Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa shukrani kwa
ushindi waliompatia kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano tena.

E79A7610-Edited-1024x682

Mwenyekiti wa wilaya ya Ikungi
Mika Likapakapa akiongea na umati wa wananchi wa wa Jimbo la Singida
Mashariki, waliojitokeza kumpokea Mbunge wao Miraji Mtaturu baada ya
kuwasili jimboni huko akitokea Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa
shukrani kwa ushindi waliompatia kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano
tena.

E79A7632-Edited-1024x682

Mama wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu

Mama wa Miss Tanzania 2006/07
,Wema Sepetu,Mariam Sepetu ,akielezea furaha aliyonayo baada ya Mbunge
wa Jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu kuchaguliwa tena kuwa
Mbunge na anaamini kuwa ataendelea kuwatumika wananchi mpaka
aatakampochoka mwenyewe kuliongoza jimbo hilo.

E79A7645-Edited-1024x682 E79A7649-Edited-1024x682 E79A7725-Edited-1024x682

MBUNGE wa Jimbo la Singida
Mashariki, Miraji Mtaturu,akiwahutubia mamia ya wananchi wake pamoja na
Chama cha Mapinduzi(CCM) baada ya kuwasili jimboni humo akitokea
Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa shukrani kwa ushindi waliompatia
kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano tena.

E79A7377-EditedAAA E79A7388-EditedAAA E79A7398-EditedAAA

Sehemu ya wananchi wakifatilia
hotuba ya Mbunge wao wa Jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu
wakati akiwashukuru na kuwapongeza kwa kumpa ridhaa ya kuwatumikia tena
miaka mitano mengine mara baada ya kuwasili jimboni huko akitokea
Bungeni Dodoma,kwa ajili ya kutoa shukrani kwa ushindi waliompatia
kuliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano tena.

……………………………………………………………………………………..

Na.Alex Sonna,Ikungi Singida

Hivi ndivyo
unaweza kusema kuwa ni Mafuriko ya wananchi na wanachama wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) kwa Mbunge wao Mhe.Miraji Mtaturu walivyompokea kwa
shangwe na furaha baada ya kuwasili katika Jimbo hilo la Singida
Mashariki akitokea bungeni Dodoma kwa ajili ya kuwashukuru kwa kumuani
tena miaka mitano tena kwa ushindi wa kishindo.

Akizungumza na baada ya
kupokelewa na wananchi wake na Chama cha CCM Mhe.Mtaturu amewashukuru
wananchi wa jimbo hilo kwa kuendelea kumuamini tena huku akisema kuwa
atawatumikia wananchi bila kuwabagua kwa itikadi zao za kisiasa.

Aidha Mtaturu amewambia wananchi
kuwa uchaguzi kwasasa umekwisha hivyo wananchi washirikiane kuhakikisha
Wilaya ya Ikungi inapata mafanikio na yeye kama kiongozi wao
atawatumikia wote bila ubaguzi.

“Tayari Mimi ni Mbunge wenu nipo
tayari kushirikiana nanyi, lakini pia tujenge mahusiano, tuachane na
itikadi zetu za kisiasa sasa tujenge uchumi wa Jimbo la Ikungi,
tumechelewa sana,”amesisitiza

Hata hivyo Mhe.Mtaturu ametaja
vipaumbele saba atakavyoanza navyo ikiwemo suala la elimu ambapo
atasimamia kuhakikisha watoto wanapata elimu bora,Maji,Umeme,Afya pamoja
na miradi iliyopo inatekelezwa na kuibua mingine.

Aidha Mhe.Mtaturu amewahamasisha
akinababa kuunda vikundi vya wakulima ili waweze kupata mikopo
itakayosaidia kuinua kilimo chao katika wilaya ya Ikungi na pia wataweza
kupata mikopo wakiunda vikundi hivyo.