Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameweka wazi kuwa kesho Julai 16, 2020 watambambulisha rasmi aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Bernard Membe kuwa mwanachama rasmi wa chama hicho
Amesema, Membe atatambulishwa kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa mlimani City mbele ya wanachama wa chama hicho.