Na Moshi Ndugulile
Takribani
watoto Milioni 250 wenye umri chini ya Miaka mitano katika Nchini zenye uchumi
wa chini na kati wapo kwenye hatari ya kutofikia hatua timilifu za ukuaji,kutokana
na kukosa malezi bora
Hayo
yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwenye hotuba yake iliyowasilishwa na
Mkuu wa wilaya ya kishapu Joseph Mkude, kwenye uzinduzi wa utekelezaji
program jumuishi ya malezi,makuzi na maendeleo ya awali ya Mtoto,ambapo amesema
takwimu zinaonyesha kuwa dunia nzima kuna takribani watoto milioni 250 kwenye
nchi zenye uchumi wa chini na kati ambao wapo kwenye hatari ya kutofikia hatua
za ukuaji
Ameeleza
kuwa takribani ¾
ya
watoto wote sawa na 66% umri chini
ya Miaka mitano waliopo kusini mwa jangwa la sahara wapo kwenye hatari ya
kutofikia hatua timilifu za ukuaji kutokana na kukosa malezi
bora,umaskini,utapiamlo pamoja na matatizo mengine ya kiuchumi
Amesema
hadi sasa Maendeleo ya awali ya Mtoto hayajapewa kipaumbele licha ya kwamba
kipindi cha Miaka 0 hadi 8 ni fursa muhiu ya kuboresha Maendeleo ya binaadamu
ili kupata mtaji bora wa raslimali watu wenye tija ,
Aidha
kukosekana kwa fursa ya malezina Maendeleo ya awali ya mtoto katika umri huo (0-8)
inaweza kusababisha changamoto katika maendeleo yao ambayo yanaweza kuathiri
kizazi hadi kizazi
Kutokana
na changmoto hizo na kwa kuzingatia umuhimu wa ukuaji na maendeleo ya awali ya mtoto serikali imechukua hatua za kuondoa
vikwazo vinavyokwamisha juhudi za malezi,makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto
(MMMMA) kwa kuandaa mkakati program jumuishi ya kitaifa ya malezi,makuzi na
maendeleo ya awali ya mtoto (PJT-MMMAM ya 2021/2022 hadi 2025/2026)
Akizungumza
kwenye hafla ya kuzindua utekelezaji program hiyo Afisa maendeleo ya jamii Mkoa
wa Shinyanyanga Tedson Ngwale amesema serikali imeendelea kuchukua hatua
mbalimbali za kuwekeza kwenye hatua za ukuaji wa Mtoto.
Serikali
Mkoani Shinyanga imesema itaendelea kushirikiana na wadau wote kutekeleza afua
zinazolenga kuchochea makuzi chanya,ya watoto ili kujenga taifa lenye watoto
waliofikia utimilifu katika ukuaji, hatua ambayo imelenga kuandaa viongozi bora
wa baadaye.
Uzinduzi
wa program hiyo umehuduriwa na wadau mbali mbalimbali wa maendeleo likiwemo
shirika la ICS ,AFYA PLUS,DOCTOR WITH AFRICA,TECDEN, WORD VISSION, Wamiliki wa
shule binafsi na vituo vya kulelea watoto,SMAUJATA,maafisa maendeleo kata,ambapo
Mkuu wa Mkoa Shinyanga Christina Mndeme ameyapongeza mashirika hayo kuunga
mkono na kushiriki kikamilifu katika juhudi mbali mbali za serikali katika
ustawi na maendeleo ya Mkoa na Taifa.
Utekelezaji
wa program hiyo umelenga kuyafikia maeneo makuu matano ya kimkaati ambayo ni
pamoja na upatikanaji wa afya bora ,lishe bora,malezi ya mwitikio,usalama na
ulinzi wa mtoto na fursa za ujifunzaji wa awali.
Uzinduzi
kwa ngazi ya Taifa ulifanyika Disemba 13,2021 huku kwa ngazi ya Mikoa awamu ya kwanza
ilifanyika Mwaka 2022 katika Mikoa kumi ya awali,na baadaye Mwaka huu 2023 imefuatiwa
na Mikoa 16 ukiwemo Mkoa wa Shinyanga ikiwa ni awamu ya pili
Washiriki
katika hafla ya uzinduzi wa program jumuishi ya malezi,makuzi na maendeleo ya
awali ya Mtoto

Mratibu
na mwezeshaji wa program jumuishi ya malezi,makuzi na maendeleo ya awali ya
Mtoto katika Mkoa wa Shinyanyanga Bwana Tedson Ngwale.

Mgeni
rasmi mkuu wa Wilaya ya Kishapu Joseph Mkude akimwakilisha mkuu wa Mkoa wa
Shinyanga katika picha ya pamoja na wageni waalikwa na washiriki katika
uzinduzi wa program jumuishi ya malezi,makuzi na maendeleo ya awali ya Mtoto