Habari Mkuu wa mkoa wa shinyanga mpya anamringi macha akabidhiwa ofisi rasmi Mwandishi Wetu18 March 202424 June 2024 Naibu katibu mkuu, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Christina Mndeme akikabidhi nyaraka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha.Picha na Mapuli Kitina MisalabaMkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude, baada ya Mhe. Macha kuwasili Mkoani Shinyanga leo Marchi 18,2024. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akipokelewa na mjumbe wa Halmashauri mkuu ya Taifa CCM (NEC) Gasper Kileo baada ya kuwasili Mkoani Shinyanga. Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Bi. Odilia Batimayo upande wa kulia akimpokea Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha baada ya kuwasili Mkoani Shinyanga kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Shinyanga mpya amewasili leo March 18,2024 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Shinyanga mpya amewasili leo March 18,2024 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Shinyanga mpya amewasili leo March 18,2024 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Shinyanga mpya amewasili leo March 18,2024 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Naibu katibu mkuu, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Christina Mndeme akikabidhi nyaraka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha. Naibu katibu mkuu, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Christina Mndeme akikabidhi nyaraka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha. Naibu katibu mkuu, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Christina Mndeme akikabidhi nyaraka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha. Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 18 wa mawaziri wa mambo ya nje wa afrika, nordic Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi…
Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya shinyanga awataka wananchi kutumia mfumo wa tehama Na Mapuli Kitina Misalaba Jaji Mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Shinyanga (inajumuisha Mikoa miwili Shinyanga na Simiyu) Frank Habibu…
Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, 2024 Bofya Hapa Kuona WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA – 2024 BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA WALIOCHAGULIWA…