Mlawiti wa watoto richard huckle adungwa kisu hadi kufa gerezani

Mwanamme
Muingereza aliyekuwa akitumikia kifungo gerezani kwa makosa kadhaa ya uhalifu
wa kingono dhidi ya watoto wa malasia amepatikana akiwa amedungwa kisu hadi
kufa gerezani.
Richard
Huckle, mwenye umri wa miaka 33, kutoka eneo la Ashford, Kent, nchini Uingereza
aliwalawiti watoto hadi 20.
 
Mnamo
mwaka 2016, alihukumiwa kifungo cha miaka 22 gerezani baada ya kukiri makosa 71
ya ubakaji wa watoto waliokuwa na umri wa miaka kati ya sita na 12 kati ya
mwaka 2006 na 2014.
Inafahamika
kuwa alishambuliwa siku ya jumapili alipokuwa katika mahabusu ya gereza la Full
Sutton karibu na York, na kisu kinachotumiwa jikoni.
Polisi
waliitwa majira ya saa sita usiku na kuanza uchunguzi kuhusina na kifo hicho
ambacho wanakishuku.
Katika
kesi dhidi ya Huckle mwaka 2016 wapelelezi waliochunguza kpmpyuta yake
walibaini zaidi ya picha na video zaidi ya 20,000 za aibu za matukio yake ya
ulawiti wa watoto. 
Alizishirikisha
kwa walawiti wengine kote duniani kupitia wavuti wa siri uliofahamika kama
wavuti wa giza. 
 
Huckle,
ambaye alifanyakazi kama mpigapicha wa kujitegemea , alijaribu kutumia
unyanyasaji huo wa kingono kwa kuuza picha hizo . Alikuwa akikusanya picha za
vitendo hivyo wakati alipokamatwa mnamo mwaka 2014.
Katika
mwisho wa kesi yake , Judge Peter Rook alisema kuwa hukumu ya Huckle inaonyesha
” kero la umma ” kuhusu “kampeni yake ya ubakaji “.
Alisema
“Ni nadra sana kwa jaji kumuhukumu mtu mmoja kwa makosa ya ubakaji kwa
kiwango hiki .”
Huckle
alikamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataiofa wa Gatwick Airport nchini
Uingereza na maafisa wa kukabiliana na uhalifu mwezi Disemba 2014, baada ya
kupewa taarifa na maafisa wa Australia. 
Alijitambulisha
kama mkristo na kwamba alitembelea Malaysia kwa mara ya kwanza kama mwalimu
alipokuwa na umri wa miaka 18 au 19. 
Baadae
alikuwa akiwasaidia watoto kukuza vibaji vyao huku akifanya kazi ya kujitolea.
Katika
jumbe zake za mtandao, Huckle alituma ujumbe wa mzaha uliosema : “Watoto
maskini ni rahisi sana kutongoza kuliko watoto wa kipato cha kati katika nchi
za magharibi”
Akielezea
kumhusu mmoja wa waathiriwa wa unyanyasaji, alijisifu akisema “Nilimharibu
msichana wa miaka 3 ambaye alikuwa amenipenda kama mbwa wangu na hakuna yeyote
aliyejali .”
Mwaka
jana BBC ilianda kipindi maalum kumuhusu Huckle, kilichofichua uhalifu wake
miongoni mwa watoto nchini Cambodia, India na Uingereza.
Mwanamme
Muingereza aliyekuwa akitumikia kifungo gerezani kwa makosa kadhaa ya uhalifu
wa kingono dhidi ya watoto wa malasia amepatikana akiwa amedungwa kisu hadi
kufa gerezani.
Richard
Huckle, mwenye umri wa miaka 33, kutoka eneo la Ashford, Kent, nchini Uingereza
aliwalawiti watoto hadi 200 
Mnamo
mwaka 2016, alihukumiwa kifungo cha miaka 22 gerezani baada ya kukiri makosa 71
ya ubakaji wa watoto waliokuwa na umri wa miaka kati ya sita na 12 kati ya
mwaka 2006 na 2014.
Inafahamika
kuwa alishambuliwa siku ya jumapili alipokuwa katika mahabusu ya gereza la Full
Sutton karibu na York, na kisu kinachotumiwa jikoni.
Polisi
waliitwa majira ya saa sita usiku na kuanza uchunguzi kuhusina na kifo hicho
ambacho wanakishuku.
Katika
kesi dhidi ya Huckle mwaka 2016 wapelelezi waliochunguza kpmpyuta yake
walibaini zaidi ya picha na video zaidi ya 20,000 za aibu za matukio yake ya
ulawiti wa watoto. 
Alizishirikisha
kwa walawiti wengine kote duniani kupitia wavuti wa siri uliofahamika kama
wavuti wa giza. 
Prison protest
Wakazi wakiandamana kupinga mpango wa kupanua gereza la Full Sutton