Msanii wa Muziki Nchini Tanzania Cheka Hija Mzee Maarufu zaidi Bi Cheka
amefariki dunia leo mchana Novemba 28,2019 katika Hospitali ya
Mloganzila.
amefariki dunia leo mchana Novemba 28,2019 katika Hospitali ya
Mloganzila.
Kifo cha msanii huyo mkongwe kimethibitishwa na mtoto wake wa kiume,
Adam Juma, ambaye amesema kuwa mama yake alikuwa akisumbuliwa na tatizo
la moyo.
Adam Juma, ambaye amesema kuwa mama yake alikuwa akisumbuliwa na tatizo
la moyo.
Familia ya marehemu inaendelea na mipango ya mazishi ambayo itaitangaza.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi