Mwenyekiti wa cwp duniani mhe. shandana khan awasili kushiriki semina ya cwp kanda ya afrika jijini arusha

Mwenyekiti  wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani (CWP International), Mhe. Shandana Gulzar Khan akipokelewa na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu, baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region) iliyoanza leo tarehe 26 – 29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge
Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani, Mhe. Shandana Gulzar
Khan (wa pili kushoto) akiongozana  na Katibu Msaidizi wa Chama cha
Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu
(kushoto) baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake
wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika iliyoanza leo tarehe 26 –
29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Wa pili
kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa
Kimataifa Ofisi ya Bunge, Ndg. Herman Berege
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge
Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani, Mhe. Shandana Gulzar
Khan (katikati) katika picha ya pamoja na Katibu Msaidizi wa Chama cha
Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu (wa pili
kushoto) baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake
wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika iliyoanza leo tarehe 26 –
29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa
Ofisi ya Bunge, Ndg. Herman Berege
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge
Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani, Mhe. Shandana Gulzar
Khan (kulia) akizungumza na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu, Katika Ofisi za
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili  kwa ajili
ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya
ya Madola Kanda ya Afrika iliyoanza leo tarehe 26 – 29 Oktoba, 2019
Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)