Naibu waziri kwandikwa akagua ujenzi wa barabara za usangi na ugweno

Muonekano wa jengo la wodi ya mama
na mtoto katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mjini Moshi linalojengwa
na Wakala wa Majengo nchini TBA.
Muonekano wa barabara ya Kikweni-
Usangi Km 12.5 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea
wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Mbunge wa Mwanga Profesa Jumanne
Maghembe akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano (sekta ya ujenzi), mhe. Elius John Kwandikwa alipokagua
barabara ya Kikweni- Usangi Km 12.5 na Kikweni-Ugweno km 17 ambazo
ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea wilayani Mwanga (kulia), ni
meneja wa TANROADS mkoa wa Kilimanjaro Eng. Nkolante Ntije.
Mbunge wa Mwanga Profesa Jumanne
Maghembe akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano (sekta ya ujenzi), mhe. Elius John Kwandikwa alipokagua
barabara ya Kikweni- Usangi Km 12.5 na Kikweni-Ugweno km 17 ambazo
ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea wilayani Mwanga mkoani
Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), mhe. Elius John Kwandikwa akisisitiza
uendeshaji makini na mahiri wa pikipiki za bodaboda kwa vijana wa Kata
ya Kifula-Ugweno wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro kufuatia kuanza
kukamilika kwa barabara za lami katika baadhi ya maeneo yenye milima na
kona kali ili kuepuka ajali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *