Picha: katibu mkuu chadema john mnyika apewa uchifu wa wasukuma

Katibu
Mkuu Chadema, Mheshimiwa John Mnyika leo amesimikwa kuwa Chifu wa
Wasukuma na kupewa jina la Maronja likiwa na maana ya MREKEBISHAJI.
Mnyika yupo mapumzikoni kijijini kwao mkoani Mwanza.