Picha : mazishi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya mtwara, evod mmanda

Mazishi
ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika  leo
Jumanne Aprili 28,2020 asubuhi eneo la Pemba Mvita  na kuhudhuriwa na
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.

Picha: AzamTv

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *