Habari Picha: muonekano wa jengo la kisasa la abiria katika uwanja wa ndege jijini mwanza mara tu ujenzi wake utakapokamilika. Mwandishi Wetu18 November 2019 Ujenzi wa jengo hilo la kisasa umeanza Septemba mwaka huu na litagharimu takribani shilingi bilioni 12. Gharama za ujenzi ni kodi za wananchi kupitia mapato ya Jiji la Mwanza, Manispaa ya Ilemelea na Serikali Kuu. Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Ruzuku ya tasaf yaboresha maisha ya wanakijiji wa mkwanda 1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H.…
Mwanafunzi kidato cha nne iyunga sekondari abuni kifaa cha kukusanya mapato MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Ufundi ya Iyunga ya Mkoani Mbeya,Yusuph Ng’umbi,akizungumza na wanadishi wa…
Mbunge neema lungangira aikumbusha serikali kuhusu umuhimu wa lishe bora kwa maendeleo ya taifa MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Asasi za Kiraia (NGOs) Mhe Neema Lugangira ameishauri Ofisi ya Waziri Mkuu kutoa mwelekezo…