Picha : muonekano wa uwanja wa majengo, moshi baada ya ibada ya mtume mwamposa kukanyaga mafuta ya upako

Muonekano
wa Uwanja wa Majengo, Moshi  baada ya ibada ya jana iliyoongozwa na
Mtume Boniface Mwamposa kugeuka vilio baada ya watu 20 kufariki dunia
walipokanyagana wakipita kwenye ‘mafuta ya upako’. 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *