Picha: rais magufuli akutana na kuzungumza na james mbatia mwenyekiti wa nccr mageuzi pamoja na profesa ibrahim lipumba wa cuf ikulu jijini dar es salaam

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu
jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Ikulu
Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James
Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *