Picha : rais magufuli awaapisha viongozi mbalimbali ikulu jijini dar es salaam

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Mathias Bazi Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya
Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Gerald Godfrey Mweli kuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI
anayeshugulikia Elimu katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Ali Sakila Bujiku kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi
mbalimbali walioapishwa kutoka kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya
Tanzania Mathias Bazi Kabunduguru, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Gerald
Godfrey Mweli pamoja na Balozi Ali Sakila Bujiku wakila kiapo cha
Maadili ya Viongozi wa Umma mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Viongozi
mbalimbali walioapishwa kutoka kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya
Tanzania Mathias Bazi Kabunduguru, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Gerald
Godfrey Mweli pamoja na Balozi Ali Sakila Bujiku wakisaini Hati ya kiapo
cha Maadili ya Viongozi wa Umma mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini
Dar es Salaam.
 
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu
Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Waziri wa
Katiba na Sheria Balozi Augustine Mahiga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya
Tanzania Mathias Bazi Kabunduguru wapili kutoka (kushoto), Naibu Katibu
Mkuu TAMISEMI Gerald Godfrey Mweli wa kwanza (kushoto), pamoja na Balozi
Ali Sakila Bujiku wakwanza (kulia) mara baada ya uapisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpa sambusa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya
kuwaapisha Viongozi mbalimbali katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *