Picha: waziri mkuu azindua mfumo wa uendeshaji bunge kidigitali

Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali,
katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai
(kulia) wakiangalia mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, baada ya
kuzinduliwa, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba
12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *