Prof. kabudi akutana na mabolozi wa nchi za afrika na nordic waliopoWaziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) akizungumza alipokutana na waandishi wa habari
kuwaelezea Maandalizi ya mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa
nchi za Afrika na Nordic unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 – 8 Novemba
2019 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Mnyepe, kulia ni
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) katika kikao cha pamoja na mabalozi kutoka nchi za
Afrika na Nordic wakizungumzia maandalizi ya mkutano wa 18 wa mawaziri
wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic utakaofanyika tarehe 7 – 8
Novemba 2019 jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) akiwaelezea waandishi wa habari maandalizi ya mkutano
wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic
unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 – 8 Novemba 2019 jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya mabalozi kutoka nchi za Afrika na Nordic wakimsikiliza Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John
Kabudi (Hayupo pichani) wakati alipokutana nao kuzungumzia maandalizi ya
mkutano wa 18 wa mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic
utakaofanyika jijini Dar es Salaam.Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *