Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Programu jumuishi ya Taifa ya makuzi na
malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM) imezinduliwa leo Jumatano Septemba
20,2023 Mkoani Shinyanga huku waratibu wakiagizwa kuandaa mpango kazi
utakaogusa maeneo yote ya kimkakati.
Programu hiyo inatekelezwa katika Mikoa 26
ya Tanzania bara ambapo uzinduzi kwa ngazi ya Taifa ulifanyika Desemba 13,2021
ambapo ilizinduliwa na Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na
makundi maaluma Dkt. Dorothy Gwajima kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu
Hassan.
Akizindua programu hiyo kwa niaba ya mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga, mkuu wa Wilaya ya Kishapu Joseph Mkude amewaagiza
waratibu wa PJT – MMMAM kufanyakazi kwa ubunifu na kuandaa mpango kazi unaogusa
maeneo yote ya kimkakati ikiwemo kuzifikia sekta za umma na sekta binafsi.
DC Mkude amewaomba wadau na watu wote
watakaoshiriki kwenye PJT – MMMAM kuhakikisha wanatoa kipaumbele na kuweka
mipango ya utekelezaji wa maeneo hayo kuanzia ngazi ya familia na maeneo ya
kazi.
“Nawaagiza
waratibu kufanyakazi kama timu ya ushindi kwa kuandaa mpango kazi unaogusa
maeneo yote ya kimkakati na kuzifikia sekta za umma na sekta binafsi lengo ni
kuwapa fursa waajiri na watumishi wao ili kuhakikisha wanatoa fursa na
kipaumbele katika malezi, makuzi na malezi ya awali ya mtoto wakati wawapo
kazini na nyumbani”.amesema DC Mkude
Awali akizungumza afisa maendeleo ya jamii
Mkoa wa Shinyanga Bwana Tedson Ngwale amesema utekelezaji wa programu jumuishi
ya Taifa ya makuzi na malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM) umelenga maeneo
makuu matano (5) ya kimkakati ambayo ni pamoja na upatikanaji wa Afya bora kwa
mtoto, lishe bora kwa mtoto, malezi ya mwitikio, usalama na ulizi wa mtoto pamoja
na fursa za ujifunzaji wa awali.
Kwa upande wake mwakilishi kutoka shirika
la ICS Sabrina Majikata amesema PJT – MMMAM imelenga kuwaimarisha watoto
kuanzia umri 0 hadi miaka nane (8) ambapo amesema ni jukumu la kila mtu
kuwalinda watoto wa kike na watoto wa kiume ili waweze kukua na kufikia
utimilifu wao.
Baadhi ya viongozi wa serikali na wadau
akiwemo katibu wa kampeni ya kupinga ukatili inayoitwa Shujaa wa Maendeleo na
Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) Mkoa wa Shinyanga, Bwana Daniel Kapaya amesema programu PJT –
MMMAM itasaidia kupunguza ukatili unaoendelea katika jamii.
Programu jumuishi ya Taifa ya makuzi na
malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM) imezinduliwa leo Jumatano Septemba
20,2023 Mkoani Shinyanga na kuhudhuriwa na viongozi wa serikali, taasisi
binafsi pamoja na wadau mbalimbali.
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Joseph Mkude akizindua
Programu jumuishi ya Taifa ya makuzi na malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM)
kwa niaba ya mkuu wa Mkoa wa Shinyanga leo Septemba 20,2023.
Afisa maendeleo ya jamii Mkoa wa Shinyanga
Bwana Tedson Ngwale akizungumza kwenye uzinduzi wa Programu jumuishi ya Taifa
ya makuzi na malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM) Mkoani Shinyanga leo
Jumatano Septemba 20,2023.
Mwakilishi kutoka shirika la ICS Sabrina
Majikata amesema PJT – MMMAM akizungumza kwenye uzinduzi wa Programu jumuishi
ya Taifa ya makuzi na malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM) Mkoani Shinyanga
leo Jumatano Septemba 20,2023.
Mwakilishi kutoka TECPEN akizungumza
kwenye uzinduzi wa Programu jumuishi ya Taifa ya makuzi na malezi ya awali ya
mtoto (PJT – MMMAM) Mkoani Shinyanga leo Jumatano Septemba 20,2023.
Ngasa Michael akizungumza kwa niaba ya
menaja World Vision kanda ya ziwa leo
Jumatano Septemba 20,2023 kwenye uzinduzi wa Programu jumuishi ya Taifa ya
makuzi na malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM) Mkoani Shinyanga.
Mwakilishi kutoka shirika la Doctors with
Africa (CVAMM), Chiara Didone akizungumza kwenye uzinduzi wa Programu jumuishi
ya Taifa ya makuzi na malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM) Mkoani Shinyanga
leo Jumatano Septemba 20,2023.
Meneja wa NMB Manonga Mkoa wa Shinyanga Shinyanga
Gadiel Sawe akizungumza kwenye uzinduzi wa Programu jumuishi ya Taifa ya makuzi
na malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM) Mkoani Shinyanga leo Jumatano
Septemba 20,2023.
Katibu wa kampeni ya Shujaa wa Maendeleo
na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) Mkoa wa Shinyanga Bwana Daniel Kapaya akizungumza
kwenye uzinduzi wa Programu jumuishi ya Taifa ya makuzi na malezi ya awali ya
mtoto (PJT – MMMAM) Mkoani Shinyanga leo Jumatano Septemba 20,2023.
Hafla ya uzinduzi wa programu jumuishi ya
Taifa ya makuzi na malezi ya awali ya mtoto (PJT – MMMAM) ikiendelea leo
Septemba 20,2023 katika ukumbi wa Vigimark Manispaa ya Shinyanga.

Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kishapu
Joseph Mkude akiwa katika zoezi la kukabidhi vyeti vya pongezi leo kwenye uzinduzi
wa Programu jumuishi ya Taifa ya makuzi na malezi ya awali ya mtoto (PJT –
MMMAM) Mkoa wa Shinyanga.

Joseph Mkude na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja leo kwenye uzinduzi

Joseph Mkude na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na MC Mzungu mweusi leo kwenye uzinduzi