Rais dkt magufuli na mkewe washiriki misa ya jumapili katika parokia ya mt.maria chamwino jijini dodoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini
Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hui ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushioriki katika misa katika parokia hii toka ahamkie rasmi Dodoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino
jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya  misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino jijini Dodoma leo Novemba
24, 2019