Rais magufuli ampa pole mkuu wa majeshi ya ulinzi ya wananchi wa tanzania jenerali venance mabeyo ambaye amefiwa na mtoto wake nelson mabeyo

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Ndugu Nelson Mabeyo
mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali
Venance Mabeyo nyumbani kwao Msasani jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpa pole Mke wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania
Jenerali Venance Mabeyo, Mama Mabeyo ambaye amefiwa na mtoto wake Nelson
Mabeyo aliyepata ajali ya ndege Seronera Serengeti mkoani Mara.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania
Jenerali Venance Mabeyo msibani Msasani jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpa pole Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali
Venance Mabeyo nyumbani kwake Msasani mara baada ya kufiwa na mtoto wake
Nelson Mabeyo aliyepata ajali ya ndege Seronera Serengeti mkoani
Mara.PICHA NA IKULU

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *