Rais magufuli amteua mwigulu nchemba kuwa waziri wa katiba na sheriaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli  amemteua Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria ambapo
Uteuzi huo umeanza leo Jumamosi Mei 2,2020

Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye amewahi kuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Augustine
Philip Mahiga aliyefariki dunia jana Mei 1,2020.