Rais magufuli azungumza na mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini katika sherehe za mwaka mpya 2020 (dilpomatic sherry party) leo ikulu jijini dar



Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, Waakilishi wa
Mashirika ya kimataifa katika Sherehe za Mwaka mpya 2020 kwa Mabalozi
hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wakimsikiliza Rais Dkt
John Pombe Magufuli katika Sherehe za Mwaka mpya 2020 kwa Mabalozi hao
(Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifuatlia
jambo wakati wa sherehe za Mwaka mpya 2020 kwa Mabalozi hao (Diplomatic
Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini
kabla ya chakula cha jioni alichowaandalia Mabalozi hao katika Sherehe
za Mwaka mpya 2020 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party)
zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU