Rais mhe. dkt. magufuli awahutubia wananchi wa vwawa mkoani songwe

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi
Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa
Mbozi wakati akitoka kuweka jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa huduma
ya maji  Vwawa mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vikundi vya
ngoma za asili kabla ya kuwahutubia wananchi wa Vwawa mkoani Songwe.
Wananchi wa Mbozi wakifurahia
hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli  wakati akiwahutubia katika mji wa Vwawa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa
Momba (Chadema) David Silinde mara baada ya kuwahutubia wananchi Mbozi
katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe. PICHA NA
IKULU