Rais mhe. dkt. magufuli azungumza na wananchi wa nachingwea mkoa lindi

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati
akitokea Ruangwa.

Sehemu ya Wananchi wakimsikiliza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli Nachingwea mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa
Ikungu Nachingwea mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia hotuba yake
kabla ya kuzungumza na wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili
wakati akitokea Ruangwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati
alipokuwa akizungumza na wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili
wakati akitokea Ruangwa.
PICHA NA IKULU

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *