Ripoti mbili za kifo cha mwandishi wa habari daudi mwangosi

RIPOTI
MBILI ZA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI DAUDI MWANGOSI ZIMETOLEWA 1.NI
ILE YA SERIKALI ILIYONDWA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AMBAYO INASEMA
KUWA HAKUNA USHAHIDI KUWA POLISI WALIHUSIKA NA KIFO CHA MWANGOSI 2.NI
ILE YA JUKWAA LA WAHARIRI NA BARAZA LA HABARI AMBAYO YENYEWE INASEMA
UCHUNGUZI ULIOFANYIKA PAMOJA NA USHAIDI WA PICHA ZA VIDEO NA MNATO NA
WANANCHI NA MASHUHUDA IMEJIRIDHISHA KUWA JESHI LA POLISI CHINI YA
USIMAMIZI WA KAMANDA WA POLISI LILITEKELEZA MAUAJI YA MWANGOSI