Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze kupakua (ku-download) na kusambaza picha pamoja na video kwa kutumia Whatsapp, kufuatia kashfa ya ngono inayomuhusisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha Nchini humo, Baltasar Engonga ambaye ameingia kwenye kashfa ya kujirekodi akifanya mapenzi na Wanawake zaidi ya 400 Ofisini na nyumbani.
Watumiaji wengi wa Whatsapp Nchini humo wamechukizwa na maamuzi hayo ya Serikali na wengine wamenukuliwa wakilaumu kwamba makosa ya Watu wachache yamefanya washindwe kuendelea na shughuli zao za kawaida kwenye mtandao huo.
Sakata hili la video za ngono kwa Mkurugenzi huyo lilifichuka baada ya upekuzi wa Polisi uliofanywa nyumbani kwake na Ofisini kwake juu ya tuhuma za ufisadi na ulaghai ambapo CD kadhaa zilikutwa zikiwa na video za Wanawake hao zaidi ya 400 wakiwemo Wake za Watu.
Watu mashuhuri wanao tajwa kufanya mapenzi na mwamba huyo huku wakiwa wamejirekodi ni pamoja na Mke wa Mchungaji wake Baltasar, Mdogo wake na Rais wa Nchi hiyo pamoja na Wake za Mawaziri zaidi ya 20.
Wengine waliyonekana wakifanya napenzi na Ebang kwenye video hizo ni Mke wa Mlinzi wake (Bodyguard), Wake wa Mawaziri kadhaa wa Nchi hiyo, Mke wa Mjomba wake ambaye ni Mjamzito, Marafiki 15 wa Mdogo wake wa kike, Mke wa Mlinzi wa Rsis, Wake wa Maafisa wengine mbalimbali wa jeshi, Wake wa marafiki zake, Mke wa Kaka yake, Binamu yake, pamona na ndugu zake wengine na Wanawake wengine mbalimbali ambapo imeelezwa wote hao walionekana kuridhia video hizo kurekodiwa.
Kwasasa video zinaxo umiza vichwa katika nchiyo ni ile mama mjamzito ambaye ni mke wa mjomba wa Enginga, Baadhi ya video za wagonjwa wakiwa hosptalini wakipatiwa matibabu na zile zinazo gusa familia ya viongozi wakuu wa taifa hilo.
Serikali imeeleza kuwa kwasasa itampima Engabanga kama anamagonjwa ya zinaa ili kujilidhisha kama alikuwa anafanya matendo hayo kimakusudi au laa, Pia imeelezwa kuwa mbali na kumpima magonjwa ya zinaa atatazwama kama anayo matatizo ya msongo wa mawazo.
Serikali ya Equatorial Guinea imesema hivi karibuni itafunga camera maalum za ulinzi kwenye Ofisi zote za Serikali ili kudhibiti vitendo viovu vya uvunjifu wa maadili vinavyofanywa kwenye Ofisi hizo ikiwa ni uamuzi ambao umekuja kufuatia kashfa ya ngono inayomuhusisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha Nchini humo, Baltasar Engonga ambaye amejirekodi akifanya mapenzi na Wanawake zaidi ya 400 Ofisini kwake na nyumbani.
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema hayo baada ya kufanya kikao na Viongozi wa Mamlaka za Serikali kujadili kashfa ya video hizo za ngono ambapo amesisitiza hawatovumilia vitendo vinavyochafua taswira ya Uongozi na Serikali ya Nchi hiyo.
Engonga ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu.