WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na mgongano uliopo kati ya Mkuu wa
Wilaya ya Malinyi, Majura Kasika na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri
ya wilaya hiyo Mussa Mnyeti, hivyo kumuelekeza Mdhibiti na Mkaguzi wa
Hesabu za Serikali (CAG) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi na
Utawala Bora kwenda kuchunguza weledi wa utendaji kazi wao.
“Ni
aibu Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli amewateua vijana wawe viongozi
lakini leo hadi wananchi wa kawaida wanajua mgongano wenu maofisini. Ni
aibu Mkuu wa Wilaya ya Mkurugenzi mnagombana tena wakati mwingine
mnagombania miradi, mmesahau kutekeleza majukumu yenu.”

Waziri
Mkuu ametoa maelekezo hayo leo (Jumatatu, Septemba 16, 2019) wakati
akizungumza na watumishi wa wilaya ya Malinyi pamoja na wananchi katika
mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Toboa, akiwa katika siku
ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro.

Amesema
Serikali imewapa nafasi hiyo ili wakasimamie maendeleo ya wananchi na
inapeleka fedha kwa ajili ya kuboresha maendeleo ya jamii kama
kuimarisha huduma za afya, elimu, maji na miundombinu ya barabara lakini
wao wanagombania miradi na mingine wanaichakachua.

Mkuu amesema mbali na CAG na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi na
Utawala Bora kwenda kuchunguza utendaji wa viongozi hao, pia ameuelekeza
uongozi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakakague miradi ya ujenzi
inayotekelezwa kwenye wilaya hiyo kama ubora wake unalingana na thamani
halisi.” Baada ya kupata majibu ya uchunguzi na kubaini kiini cha tatizo
ndani ya wilaya hii hatua zitachukuliwa.”

Awali,
Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Haji Mponda alimweleza Waziri Mkuu
kwamba kwenye wilaya hiyo kuna matatizo ya mahusiano kati ya Serikali na
Halmashauri jambo linalosababisha kukwama kwa shughuli za maendeleo.

Mbunge
huyo alisema kutoelewana kwa viongozi wa wilaya hiyo Mkuu wa Wilaya na
Mkurugenzi kumesababisha mgawanyo mkubwa kuanzia katika Baraza la
Madiwani hadi kwa wananchi mitaani, hivvyo alimuomba Waziri Mkuu
awasaidie katika. Kilipatia ufumbuzi suala hilo.

Katika
hatua nyingine, Waziri Mkuu amesema kuwepo kwa mabango mengi kwenye
mikutano ya hadhara ya viongozi wakuu kunadhihirisha wazi kwamba
watendaji wa Halmashauri hawawatembelei wananchi katika maeneo yao na
kutatua kero mbalimbali zinazowakabili.

“Watendaji
hamuendi kuwatembelea wananchi na kusikiliza matatizo yao, haiwezekana
wawe wanawasubiri viongozi wa juu na kuwasilisha kero zao kwa njia ya
mabango, sasa jipangeni haya mabango yote mtakuja kuyajibu kwa sababu
katika mabango yao hakuna hoja hata moja inayomuhusu Waziri Mkuu zote ni
za ngazi ya halmashauri.”

Mkuu amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John
Magufuli imeelekeza nguvu kubwa katika kuwatumikia wananchi na kutatua
kero zao, hivyo itasimamia kuhakikisha kila mtumishi anawajibika kwa
kiwango kinachostahili.

Mapemaalipowasili
wilayani Malinyi, Waziri Mkuu aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo
la ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi linalojengwa na Shirika la
Nyumba la Taifa kwa gharama ya sh. bilioni 3.9. Ujenzi huo ulianza
29/11/ 2017 na utakamilika 29/09/ 2019.

(mwisho)
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,