Na Mapuli Misalaba
Baadhi ya viongozi wa kampeni ya Shujaa wa Maendeleo
na Ustawi wa Jamii Tanzania SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga wanatarajia kushirikia
kwenye hafla ya SMAUJATA CHAMPIONS AWARDS ambayo itafanyika kitaifa kesho jijini
Dodoma.
Hafla hiyo itaambatana na maadhimisho ya siku ya mtoto
wa afrika ambapo mashujaa wa SMAUJATA mikoa yote wanatarajiwa kuhudhuria na
kwamba lengo ni kupongezana kwa kufikisha Mwaka mmoja wa kampeni hiyo ya
kupinga na kutokomeza ukatili Nchini ambayo ilizinduliwa na waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na
makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima Juni 16,2022.
SMAUJATA ni kampeni ya kitaifa ya kupinga ukatili Nchini Tanzania iliyoanzishwa mwaka jana chini ya Mwenyekiti wa
SMAUJATA Taifa Bwana Sospeter Mosewe Bulugu
SMAUJATA inawakaribisha wananachi
wote kuhudhuria hafla hiyo siku ya kesho Juni 16,2023 jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa
Shinyanga Bi. Nabila Kisendi jina maarufu Madam Kisendi wa pili kutoka upande
wa kushoto akiwa na baadhi ya viongozi baada ya kufika jijini Dodoma leo Juni
15,2023.
Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa
Shinyanga Bi. Nabila Kisendi jina maarufu Madam Kisendi wa pili kutoka upande
wa kushoto akiwa na baadhi ya viongozi katika ukumbi wa Roma Complex leo jijini

Baadhi ya viongozi wa SMAUJATA kutoka
mikoa mbalimbali wakiwa katika mazungumzo ya pamoja leo Juni 15,2023 katika
ukumbi wa Roma complex jijini Dodoma.