T-marc tanzania yatoa msaada wa taulo za kike ‘flowless’, shule ya mugabe dar

 Mkurugenzi
wa Bidhaa za Kijamii wa T-MARC Tanzania,Flavian Ngole (kushoto)
akikabidhi taulo za kike kwa Mwalimu mlezi wa shule ya sekondari ya
Mugabe iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam, Theresia Paulo, wakati wa
hafla ya hafla ya kukabidhi msaada wa taulo za kike zilizozinduliwa na
taasisi hiyo nchini zinazojulikana kama Flowless, wa pili kushoto ni
balozi wa bidhaa hiyo, Dinnah Marrios.

Mkurugenzi
wa Bidhaa za Kijamii wa T-MARC Tanzania, Flavian Ngole, (kushoto)
akikabidhi taulo za kike kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya
Mugabe iliyopo wilayani Kinondoni,Judith Michael, wakati wa hafla ya
kukabidhi msaada wa taulo za kike zilizozinduliwa na taasisi hiyo nchini
zinazojulikana kama Flowless, kwa wanafunzi wa shule hiyo ,wa pili
kushoto ni balozi wa bidhaa hiyo, Dinnah Marrios.

Mkurugenzi
wa Bidhaa za Kijamii wa T-MARC Tanzania, Flavian Ngole, akiongea na
wanafunzi wa kike wa sekondari ya Mugabe wakati wa hafla ya kukabidhi
taulo za kike kwa wanafunzi wa shule hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *