Mkuu
wa kanda ya Mashariki ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC)
Dk.Wilbroad Muhogora akizungumza na waandishi wa Habari maara baada ya
ufunguzi wa Mafunzo ya kitaifa ya utunzaji na usafirishajj salama wa
vyanzo vyenye asili ya mionzi, mafunzo hayo yanahudhuriwa na washirki
kutoka Taasisi mbali mbali zinazojihusisha na usafirishaji wa vyanzo vya
mionzi nchini.Mkuu
wa kanda ya Mashariki (TAEC) Dk Wilbroad Muhogora akifungua Mafunzo ya
kitaifa ya utunzaji na usafirishajj salama wa vyanzo vyenye asili ya
mionzi, mafunzo hayo yanahudhuriwa na washirki kutoka Taasisi mbali
mbali zinazojihusisha na usafirishaji wa vyanzo vya mionzi nchini.

Picha ya pamoja na Washiriki
***
TUME
ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), inaendesha mafunzo ya siku Tano
(5) ya Kitaifa ya utunzaji na usafirishaji salama wa vyanzo vyenye
viasili vya Mionzi (Radioactive source), kwa taasisi mbalimbali
zinazojihusisha na usafirishaji wa mionzi nchini.

Akizungumza
katika ufunguzi wa mafunzo hayo yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Kwa
niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC),
Dk. Wilbroad Muhogora, Mkuu wa Kanda ya Mashariki amesema kuwa mafunzo
haya ni muhimu sana kwani yatawasiaidia washiriki kupata ujuzi wa kuhusu
utunzaji na usafirishaji bora na salama wa vyanzo vya mionzi.

Dk
Muhogora amesema lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo katika
menejimenti ya utunzaji na usafirishaji salama wa vyanzo vya mionzi.

“Usafirishaji
wa vyanzo hivi unaweza kusababisha madhara iwapo matakwa ya kiulinzi na
usalama hayatazingatiwa wakati wa kuvitunza au kuvisafirisha

Kwa
hiyo mafunzo haya yatawasaidia kupata uelewa zaidi na kutayarisha
mipango ya kinga mionzi wakati wote”. Alisema Dkt. Muhogora.

Vifaa
vyenye mionzi vinatumika nchini katika sekta mbali mbali za kijamii na
kiuchumi ikiwemo afya, kilimo, ufugaji, viwanda, barabara ambapo mpaka
sasa sasa jumla ya idadi ya vifaa vitoavyo mionzi nchini ni karibu 900
na kati ya hivyo vyanzo vya mionzi vyenye viasili vya mionzi
(radioactive sources) ni 400.

Mafunzo
haya yanahudhuriwa na washiriki kutoka katika taasisi mbali mbali
zinazojihusisha na usafirishaji wa vyanzo vya mionzi nchini.