Wakala
wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imetoa gawio la kiasi cha shilingi
bilioni 24.891 kwa Serikali ikiwa ni makusanyo ya Wakala kwa mwaka
2018/2019.
Akizungumza
na mwandishi wetu jijini Dodoma mara baada ya makabidhiano ya hundi ya
gawio hilo, Kamishna Mhifadhi wa Misitu Prof. Dos Santos Silayo alisema
yeye pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri TFS Br. Jenerali Mkeremy
walimkabidhi mfano wa hundi Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya upokeaji gawio, michango na
ziada kutoka Mashirika na Taasisi za Umma iliyofanyika Ikulu Chamwino,
Dodoma.

Prof.
Silayo anasema mchango huu unatokana na makusanyo ya TFS kwa mwaka
2018/19 ambapo Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ulipanga kuchangia
bilioni 18.39 kwa mujibu wa Sheria ya Fedha za Umma na. 6 ya mwaka 2001
na marekebisho yake ya mwaka 2015 na kufanikiwa kuchangia shilingi
bilioni 24.891 ikiwa ni ziada ya shilingi bilioni 6.5.

“
Tumetoa gawio la shilingi bilioni 24.891 mwaka huu, gawio hili
limeifanya TFS kuwa miongoni mwa taasisi 6 bora kati ya Taasisi 79
zilizochangia na kutunukiwa cheti cha uchangiaji bora kwenye mfuko Mkuu
wa Serikali,” alisema Prof. Silayo.

Silayo anawashukuru wafanyakazi wote wa TFS kwa kila mmoja na nafasi
yake, uongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii chini ya Waziri ya
Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla, Bodi ya Ushauri ya
TFS iliyo chini ya mwenyekiti wake Br. Jenerali Mkeremy na wajumbe wote
kwa uchapakazi na uongozi thabiti uliowezesha TFS kukusanya na hatimaye
kuwasilisha sehemu ya mapato yake kwa serikali.

“Niwatake
wafanyakazi wote kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili Wakala wa Huduma
za Misitu Tanzania kuendela kuwa kielelezo bora katika usimamizi
endelevu wa rasilimali za kitaifa za misitu na nyuki ili kuchangia
mahitaji ya kijamii, kiuchumi, ki-ikolojia na kiutamaduni kwa kizazi cha
sasa na kijacho, “Prof. Silayo.

Hii
ni mara ya pili kwa TFS kuchangia gawio la Serikali ambapo katika mwaka
wa fedha uliopita jumla ya shilingi bilioni 22.41 ilikabidhiwa kwa
Serikali kama gawio.