Tigo yaifikisha promosheni ya tigo fiesta 2019 chemsha bongo jijini arusha


Kaimu mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi,Aidan Komba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Tigo Fiesta 2019 Chemsha Bongo iliyofanyika Jijini Arusha.Pembeni yeke ni Mtaalamu wa huduma za Kidigitali wa Tigo,Fabian Felician Mtaalamu wa huduma za Kidigitali wa Tigo,Fabian Felician akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa promosheni ya
Tigo Fiesta 2019 Chemsha Bongo iliyofanyika Jijini Arusha.Pembeni yeke
ni Kaimu mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi,Aidan Komba 

Wateja wa Tigo wanaoshiriki katika promosheni ya Tigo Fiesta 2019
Chemsha Bongo kwa mara ya kwanza wana nafasi ya kushinda hadi Sh1
milioni kila wiki huku mshindi wa jumla ataweza kujinyakulia gari mpya
aina ya Renault Kwidyenye thamani ya Sh23 milioni.

 Meena Ally akitoa maelezo jinsi ya kushinda Gari mpya (0kms) aina ya Renalt Kwid kwenye promosheni ya #TigoFiestaChemshaBongo. Tuma Neno “Muziki” kwenda 15571

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *