Wabunge
watatu wa CHADEMA wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kufuatia amri ya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyotaka wabunge wanne wa chama hicho
wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana.

waliokamatwa jana Novemba 18, 2019 ni mbunge wa Tarime Vijijini, John
Heche na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa huku Mbunge wa Kawe,
Halima Mdee yeye alishakamatwa wiki iliyopita

Heche
na Msingwa walikamatwa jana mara baada ya kujisalimisha katika Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kuonana na Hakimu Mkazi Mkuu anayesikiliza
kesi inayowakabili, Thomas Simba.

hao wameunganishwa na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee katika kituo hicho
cha Osterbay huku Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya akidaiwa kuwa
anaumwa na amelazwa.

Novemba
15, mwaka huu 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliamuru wabunge hao
wanne wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo baada ya kutokufika
mahakamani hapo bila ya kutolewa taarifa yoyote wakati kesi yao ya
uchochezi ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa.

Kesi hiyo inatarajia kuendelea leo Novemba 19, 2019 kwaa ajili ya kuendelea na hatua ya usikilizwaji.