Ofisa madini mkazi (RMO) wa Mkoa wa kimadini wa Simanjiro, Daudi Ntalima, akizungumza na wadau wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani. |
WAFANYABIASHARA
maarufu wa madini ya Tanzanite 28 wakiwemo wenye asili ya bara la Asia
na baadhi ya wamiliki wa migodi hiyo, wameitwa katika ofisi ya madini
Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ili watoe taarifa juu ya
madini waliyonayo.

Kwa mujibu wa barua
ya Ofisa madini mkazi wa Mkoa wa kimadini wa Simanjiro, Daudi Ntalima
imewataka wamiliki hao wa migodi, madalali na wanunuzi wa madini hayo
kufika ofisini kwake kuanzia jana jumanne ya Novemba 12.

Ntalima alisema shughuli hiyo itafanyika kwenye ofisi yake, kwa muda wa siku tatu mfululizo kuanzia Novemba 12 hadi Novemba 14.
Alisema wahusika wote
wameshaandikiwa barua wakiwemo wale ambao siyo wanachama wa chama cha
wafanyabiashara wa madini nchini (Tamida).

Aliwataka wahusika
wote kuhudhuria bila kukosa ili kuweka uelewa wa pamoja juu ya biashara
ya madini ya Tanzanite ili kujenga Taifa bora.

Wafanyabiashara hao
walioandikiwa barua ya kutii wito huo ni Hussein Lemali, Emmanuel Wado
(Sunda), Saitoti, Tarimo, Bima, Hamad Mjaluo, Manesh Kotog, Edward
Mollel na George Kivuyo.

Wengine ni Ben Nkya,
Peter Periera, Sam Mollel, Rakesh, Vinal, Reno, Bima, Rajan, Saran,
Salesh, Sidor, Faisal, Jitu, Muller, Shah, Sumil na Frizble.

Oktoba 29 mwaka huu
Ntalima alitaja majina ya vigogo wenye kumiliki madini ya Tanzanite
ofisini kwao au majumbani mwao, kufika ofisini kwake ili watoe taarifa
zao juu ya madini hayo.

Mmoja kati ya wakazi
wa mji mdogo wa Mirerani, Hawa Athuman alisema baadhi ya watu
hawakuamini kama serikali ingeweza kuwaita wafanyabiashara hao na
wakatii amri.

“Tusomeshe watoto
jamani, huyu RMO Daudi Ntalima ni kijana mdogo lakini anatimiza wajibu
wake ipasavyo yaani hawa wafanyabiashara wa madini ya Tanzanite wametoka
Arusha na kuja Mirerani kuleta taarifa zao,” alisema.

Mkazi mwingine, Hamis
Hamza alisema tukio hilo ni zuri kwa serikali kwani inapokuwa na
mashaka juu ya suala lolote lile hufanya mahojiano ili kujiridhisha.

“Hii serikali ya Rais
John Magufuli inafanya kazi kweli kweli jana tumewaona vigogo wametoka
Arusha na kuja Mirerani kuhojiwa na kutoa taarifa zao,” alisema Hamza.