Wanahabari mwanza wakumbushwa wajibu wao kuelekea chaguzi


Klabu ya Waandishi wa Habari
Mkoa Mwanza (MPC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF),
imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Mwanza kwa lengo la
kuwajengea uwezo kuripoti kwa weledi habari kuhusu ujenzi wa amani
kabla, wakati na baada ya chaguzi. Mafunzo hayo yamefanyika Oktoba 31,
2019 Holmand Hotel jijini Mwanza.


Na George Binagi Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza (MPC), Edwin Soko akitoa salamu kwenye ufunguzi wa warsha hiyo. Mratibu wa Klabu ya Waandishi
wa Habari Mkoa Mwanza (MPC), Rose Mwanga akitoa neno la shukurani wakati
wa kuahirisha mafunzo hayo.Wanahabari wakimsikiliza na kunasa habari kwenye warsha hiyo.  Mkurugenzi wa Idara ya
Maendeleo yenye Tija kwa Watu wote (PCD), Prof. Francis Matambalya
akitoa utambulisho kuhusu Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) kwenye warsha
hiyo. PCD ni idara ndani ya MNF. Mafunzo hayo yalilenga kuwajengea uwezo wanahabari mkoani Mwanza kuandika habari kwa weledi kabla, wakati na baada ya chaguzi.