Naibu waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kahama Thomas Myonga wakifurahia baada ya kuona mwitikio mzuri wa uchangiaji wa maendeleo kwa wananchi wa kijiji cha Itumbo. |
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias
Kwandikwa,akiongozana na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kahama Thomas
Myonga kukagua jengo la Zahanati ya Itumbo iliyojengwa kwa nguvu za
wananchi.

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Naibu waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa,katika hafla hiyo ya uchangiaji wa ujenzi wa Zahanati.
SALVATORY NTANDU
Wakazi wa kijiji cha Itumbo kata ya
Kisuke wameiomba Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga kukamilisha
ujenzi wa jengo la zahanati ya kijiji hicho ili kuzuia vifo vya
akina Mama wajawazito na watoto kutokana na kutembea umbali mrefu wa kilomita
12 kufuata huduma ya afya.

Hayo yamebainishwa jana Sofia Lazaro na
Emiliana Mohamed katika hafla maalum ya uchangiaji wa fedha kwaajili ya
ukamilishaji wa zahanati hiyo ulioongozwa na Naibu waziri wa Ujenzi, na
mbunge wa jimbo la Ushetu, Elias Kwandikwa uliofanyika katika kijiji
hicho.

“Akinamama wajawazito katika kijiji
hicho wamekuwa wakifungulia njiani kutokana na kusafiri umbali mrefu
ambapo wengine hulazimika kulipishwa shilingi elfu 6000 kwa usafiri wa
pikipiki kwa mchana na kwa nyakati za usiku bei hungezeka hadi kufikia
elfu 1000”,alisema Lazaro.

“Tumelazimika kuchanga fedha zao ili
kusogeza huduma hiyo ambapo kwa sasa huduma za matibabu huzipata kutoka
katika zahanati ya kijiji cha kisuke na wakati mwingine hulazimika
kwenda katika hopitali ya Halmashauri ya mji wa Kahama ambayo ipo umbali
wa kilomita 40”,alisema Mohamed.

Akijibu hoja za wakazi hao ,Mkurugenzi
mtendaji wa Halmashauri hiyo Michael Matomora alisema wametenga
shilingi milioni 60 kwaajili ya kulikamilisha jengo la zahanati hiyo
huku hospitali ya wilaya ya Ushetu ikitarajia kuanza kutoa huduma za
matibabu Januari 2020.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Ujenzi
Elias Kwandikwa alisema serikali ya awamu ya tano inaendelea na ujenzi
mbalimbali wa majengo ya zahanati na vituo vya afya katika jimbo hilo
ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma karibu.

“Ilani ya uchaguzi ya Chama cha
Mapinduzi (CCM) imeainisha kuwa kila kijiji ni lazima kiwe na zahanati
na Kata lazima iwe na kituo cha afya, sisi kama wasimamizi wa ilani hii
tutahakikisha utekelezaji wake unafanyika kwa haraka”Alisema Kwandikwa

Ujenzi wa zahanati hiyo ulianza mwaka
2010 na katika harambee hiyo Benki ya NMB walitoa ahadi ya bati 170 huku
zaidi ya mifuko 80 saruji mifuko 80 ikichangwa na wadau mbalilmbali
wamaendeleo na fedha zaidi ya shilingi milioni 10 zilipatika katika
harambee hiyo.