NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza,Salum Kalli,
amesema CCM wanaodhani itaondoka madarakani wamechelewa bali itaendelea
kuongoza nchi kutokana na misingi yake na kukubalika kwa wananchi.

Alisema vipo vyama barani Afrika vilianguka na kuondoka madarakani
sababu ya viongozi wake kushindwa kusimamia misingi lakini si kwa CCM.

Kalli alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Wasichana Bwiru jana kuwa, CCM itendelea kuongoza na
kushika kwa miaka 100 kutokana na uimara wa misingi yake na jinsi
inavyokubalika kwa wananchi.

“Zipo nchi zinaongozwa kifalme,kidini na kisiasa.Tanzania inaongozwa
kisiasa chini ya Chama Cha Mapinduzi , hivyo kitendelea kuongoza kwa
muda mrefu kutokana nakutekeleza mmbo mengi ya kijamii, wenye ndoto kuwa
kitaondoka madarakaniwamechelewa sana,”alisema.

Katibu wa CCM mkoani humu alisema tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1961
ni mengi yamefanywa katika sekta mbalimbali ukiwemo ujenzi wa shule,
hospitali, vituo vyaafya na zahanati, reli,miundombinu ya barabara na
maji, yote hayo si miujiza nikazi ya CCM.

Alisema wakati nchi inapata Uhuru akina mama walijifungulia
vichakani, kulikuwa na shule 22 za sekondari lakini leo kila kata ina
shule ya sekondari na nyingine zaidi yamoja na akina mama wanajifungulia
vituo vya afya na hospitali.

Kallia alifafanua kuwa Mwalimu Nyerere aliweka misingi ya usimamizi
wa elimu wakiwemo viongozi wengine waliofuata baada yake na sasa Rais
John Magufuli anatoa elimubure huku wazazi wakibaki kuangalia mahitaji
mengine ya watoto, malezi na nidhamu.

“RaisMagufuli amenunua ndege lakini wapo wanaopinga hazina maana, si
lazima tuzipande wote la hasha.Wataokazipanda watalipa nauli na serikali
itaongeza shule nyingine na kutoa huduma zingine kwa wananchi,”alisema
Kalli.

Alielea kuwa elimu wanayoitafuta itawapa heshima wanafunzi haona
hivyo hawana budi kujibibidisha kwenye masomo ili wapatikane wana
sayansi wakumrithi Rais Magufuli, maprofesa,madaktari na watalaamu wa
kada zingine lakini pia wajenge uzalendo kwa nchi yao kabla na baada ya
masomo .

Aidha,Kalli ambaye alikuwa shuleni hapo kushiriki na wanafunzi wa
klabu ya Jogging kufanya mazoezi ya kujenga mwili alitumia fursa hiyo
kuwaasa wanafunzi hao pamoja na jamii kufanya mazoezi yakuimarisha miili
yao na kujenga afya ili kuepukana na maradhi