Watumishi housing company yashauriwa kutenga nyumba za kuwauzia na kupangisha wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii

Baadhi ya
Nyumba za ghorofa za Mradi wa Watumishi Housing
Company
zilizojengwa kwa madhumuni ya kuuziwa Watumishi wa Umma na
kupangishwa katika eneo la 
Gezaulole Kigamboni nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt.
Mary akitoa ushauri juu ya upangishaji na uuzaji wa nyumba kwa watendaji wa Watumishi Housing Company katika
mojawapo ya nyumba alizozikagua eneo la Gezaulole  – Kigamboni jijini Dar Es salaam.
Mkurugenzi
wa Watumishi Housing Company, Dkt. Fred
Msemwa akitoa maelezo kuhusu mradi
wa nyumba za kampuni hiyo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa alipofanya ziara ya
kukagua maendeleo ya mradi ujenzi wa nyumba eneo la Gezaulole jijini Dar es
Salaam.
Naibu
Waziri ,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt.
Mary Mwanjelwa akikagua nyumba zilizojengwa na Watumishi Housing Company eneo la Gezaulole jijini Dar es Salaam.Kushoto
kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Company Dkt. Fred Msemwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *