Watumishi wizara yamaliasili na utalii washiriki maandamano ya mei mosi jijini dodoma

 

Baadhi
ya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenya maandamano
kuelekea uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani Mei Mosi.

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenya
maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ikiwa ni maadhimisho
ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi.