MWANDISHI WETU
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji
nchini Mhe. Angellah Kairuki amewaasa wananchi kuthubutu uwekezaji
katika maeneo yenye tija kwa kuzitumia fursa za uwekezaji zilizopo ili
kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo yao na nchi kwa ujumla.

Ametoa
kauli hiyo tarehe 23 Januari, 2020 alipokuwa akizungumza na waandishi
wa habari katika kiwanda cha kuchakata maziwa ya mtindi cha Mather
Dairies kilichopo Kijiji cha Ikwiriri Wilaya ya Rufiji katika Mkoa wa
Pwani alipotembelea kiwandani hapo ikiwa ni eneo la mwisho kutembelea
katika ziara yake ya siku 6 Mkoa wa Pwani.

Akiwa
katika kiwanda hicho kilichowekeza mtaji wa zaidi ya milioni 300 chenye
uwezo wa kuchakata zaidi ya lita 2000 kwa siku ambazo hutengeneza
maziwa ya mtindi aina ya Yogurt Full Manyonyo, waziri alitoa hamasa hiyo
kwa Watanzania kuzichangamkia fursa na kuwatoa shaka kuwa hakuna
Mwananchi asiyeweza kuwekeza kikubwa ni kuwa na nia na uthubutu.

“Ni
ukweli kuwa, kila uwekezaji Mtanzania anaweza kuufanya muhimu kuwa na
ujuzi, teknolojia pamoja na mtaji pasipo kutia shaka na
kujiamini,”alifafanua Waziri Kairuki

Aliongezea
kuwa, ikiwa uwezo wa kuwekeza ni mdogo kwa kuzingatia ukosefu wa ujuzi
wananchi wanapaswa kutumia fursa za mafunzo ya ukuzaji ujuzi unaotolewa
katika vyuo mbalimbali na kutumia watu wenye uzoefu inapofaa kulingana
na aina ya uwekezaji unaotaka kuufanya.

Aliwaasa watanzania kuacha tabia ya kukatishana tamaa na kuona namna ya kushikamana kuweza kuwekeza katika sekta mbalimbali.
“Kumekuwa
na tabia ya kukatishana tamaa pindi mtu anapothubutu kuona fursa na
kuichangamkia, ni rai yangu kwa wananchi kuona watanzania tunawekeza
kufanya mambo makubwa katika maeneo yote yenye fursa, na kuzitumia vyema
mamlaka zilizopo kwa kupata msaada ya ushauri elekezi na miongozo ya
namna bora ya kuwekeza,”alifafanua

Naye
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho Mzee Abdallah Nyarando alieleza
namna alivyoanza uwekezaji wake mwaka 2010 kwa mtaji wa shilingi milioni
20 na hadi kukamilika kwa kiwanda hicho ametumia jumla ya shilingi
Milioni 300, na kuweza lengo ni kuongeza thamani ya maziwa, kuzalisha
ajira na kujipatia kipato.

“Kiwanda
hiki kimeweza kusaidia zaidi ya vijana 12 ambao wamekuwa wa msaada
katika kuzalisha na kuuza maziwa maeneo mablimbali nchini ikiwemo;
Masasi, Kibiti, Rufiji, Mtwara na Dar es Salaam,”alisema Mzee Nyarando.

Alitoa
wito kwa wananchi kuondokana na hofu za kuwekeza katika maeneo
mbalimbali na kueleza zipo faidi za kuwekeza katika nchi yao na
kujipatia kipato ili kujikwamua kiuchumi.

Akiwasilisha
taarifa yake kwa Waziri Kairuki Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Juma
Njwayo alieleza kuwa Tanzania ina fursa nyingi za kusaidia kundi kubwa
la vijana katika kujikwamua kiuchumi kwa kuangalia maeneo muhimu ya
uwekezaji katika Nyanja mbalimbali.

kuwa, wananchi hawana budi kujiajiri kwa kutumia nguvu kazi walizonazo
na kuzichangamkia fursa za Wilaya yake ambazo alizibaini ni pamoja na
shughuli za kilimo, ufugaji, uvuvi na biashara na kuwataka kuzitumia kwa
kuzingatia uwepo wa miundombinu muhimu ya kuvutia uwekezaji.

“Wilaya
yetu ina vivutio vingi ikiwemo ardhi inayokubali mazao mbalimbali kama
mahindi, mpunga, korosho, mazao jamii ya mikunde na mbogamboga na
matunda aina ya matikiti hivyo zitumieni kwa tija na kuhakikisha
tunaondokana na ukosefu wa ajira,”alieleza Juma

Alitumia
fursa hiyo kutoa rai kwa wawekezaji kuona maeneo yenye rutuba na
kuwekeza katika mazao hayo na kubainisha fursa zilizopo katika ufugaji
kwa kuzingatia uwepo wa mabwawa ya asili maji katika wilaya hiyo.