Waziri kigwangalla ahitimisha ziara yake jimbo la nzega vijijini , akutana na kuzungumza na viongozi wa ccm wa kata 19


Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Isanzu jimbo la Nzega Vijijini wakati akihitimisha ziara yake ya jimbo kuhamasisha maendeleo, kuzungumza na wananchi na kutatua kero

Waziri wa
Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi
Kigwangalla akitembelea Kata ya Mwasala wakati wa ziara yake ya jimbo ya
kuhamasisha shughuli za maendeleo na kutatua kero za wananchi wa jimbo
hilo.
 Waziri wa Maliasili na Utalii na
Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla  akizungumza
na Viongozi wa CCM wa Kata ya Wela jimbo la Nzega Vijijini wakati
akihitimisha  ziara yake ya jimbo ya kuhamasisha shughuli za maendeleo
na kutatua kero za wananchi.
PICHA – Aron Msigwa –WMU, Nzega Vijijini.