Waziri mkuu amwakilisha rais dkt. john pombe magufuli, uapisho wa rais wa msumbiji, filipe nyusi

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu,
Benjamin Mkapa, wakati akiondoka nchini, katika uwanja wa Julius
Nyerere, kuelekea Msumbiji kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye
uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Januari 14, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)