Waziri mkuu kassim majaliwa aanza ziara ya siku tatu morogoro, awasili ifakara


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Steven Kebwe, wakati akiwasili
katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba
14.2019. Waziri Mkuu yupo mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku
tano.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akipokea taarifa ya Mkoa, kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Steven
Kebwe, baada ya akiwasili katika makao makuu ya kata ya Ifakara,
Wilayani Kilombero Septemba 14.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akizungumza na uongozi wa Mkoa wa Morogoro, mara baada ya kuwasili
katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba
14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *