Waziri mkuu kassim majaliwa atoa pole kwa mkuu wa majeshi na familia

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali
Venance Mabeyo wakati alipokwenda kuhani msiba wa mototo wa Mkuu wa
Majeshi , Nelson Mabeyo, Msasani jijini Der es salaam, Septemba 24,
2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha
Nelson Mabeyo, mtoto wa Mkuu wa Majeshi nchini, Generali Venance Mabeyo,
nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam, Septemba
24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole,  Tina  Mabeyo, Mke wa Mkuu wa
Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati alipokwenda nyumbani kwa
Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam kuhani msiba wa mtoto wa
Mkuu wa Majeshi, Nelson Mabeyo, Septemba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali,
Venance Mabeyo wakati alipokwenda nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani
jijini Dar es salaam kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi, Nelson
Mabeyo, Septemba 24, 2019. Kulia ni Jaji Mkuu waTanzania, Profesa
Ibrahim Hamis Juma na kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi
Ombeni Sefue.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *