Waziri mpina ashiriki zoezi la kundikisha uchaguzi serikali za mitaa ktka kijiji cha isangiro wilayani meatu, simiyu

 MBUNGE
wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na
Uvuvi akijiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi
wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Mwamhuge, Kijiji cha
 Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu. Kulia ni Afisa Mwandikishaji
Sospeter Mseya.(13. 10.2019)
 MBUNGE
wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na
Uvuvi akiwa kwenye mstari kwa ajili ya kuingia kwenye kituo cha
kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa
Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Mwamhuge, Kijiji cha  Isangijo
Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu. .(13. 10.2019)
 MBUNGE
wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na
Uvuvi akisalimiana na Waasisi wa Chama cha TANU muda mfupi baada ya
kukamilisha zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa
ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Mwamhuge,
Kijiji cha  Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu. .(13. 10.2019
 MBUNGE
wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na
Uvuvi akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya kukamilisha zoezi la
kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa
Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Mwamhuge, Kijiji cha  Isangijo
Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu. Kushoto ni Mbunge wa Zamani wa Jimbo la
Maswa, Constantine Sement Shillingi  (13. 10.2019)
MBUNGE
wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na
Uvuvi akisisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi bora watakaoweza
kusimamia mipango ya Serikali kwenye vitongoji na vijiji muda mfupi
baada ya kukamilisha zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga
kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha
Mwamhuge, Kijiji cha  Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu (13.
10.2019)