Na Revocatus Kassimba, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Waziri
wa Kilimo Japhet Hasunga ameagiza wakurugenzi wakuu wa bodi za mazao
chini ya wizara ya kilimo kutenga fedha kwa ajili ya kufanya utafiti ili
kuongeza tija ya uzalishaji.

Hasunga ametoa maelekezo hayo tarehe 24 Januari 2020 jijini Dodoma
ikiwa ni siku ya pili ya kikao kazi cha Menejimenti ya Wizara, bodi za
mazao na taasisi kinacho tathamini utendaji kazi wa nusu mwaka kufikia
Disemba 2019.

“Bila
kuwekeza fedha za kutosha kwenye utafiti kilimo kitaendelea kukua kwa
kasi ndogo, hivyo nawaagiza watendaji wakuu wa bodi kuweka bajeti ya
utafiti mwaka 2020” alisema Waziri wa Kilimo

Katika
kikao hicho wajumbe walionesha kutoridhishwa na mwenendo wa hali ya
uzalishaji kwenye mazao ya kimkakati ya biashara kama tumbaku,
mkonge,kahawa, pareto na chai.

Akitoa
taarifa ya hali utendaji kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Tumbaku
Stanley Mnozya alieleza katika mwaka 2019/20 jumla ya tani 70,087
zilinunuliwa zenye thamani ya shilingi Bilioni 230.3

Mnozya
aliongeza kusema licha ya zao la tumbaku kuwa la pili kwa kuingiza
mapato zaidi nchini linakabiliwa na changamoto ya kukosekana kwa uhakika
wa soko na uwezo kidogo wa wakulima kuzalisha kutokana na mfumo wa
kilimo mkataba kutoeleweka vizuri.

“Bodi
inaendelea na majaribio ya aina mpya nne za mbegu ya tumbaku ya mvuke
toka China ili kuongeza tija kwa mkulima “ alisema Mkurugenzi Mkuu
huyo.

Kwa
upande wa Bodi ya Kahawa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi
hiyo Prof Jamal Adam imeonyesha uzalishaji wa kahawa kufikia Disemba
2019 ulifikia tani 55,979 kati ya lengo la tani 50,000.

Prof
Jamal ametaja aina za kahawa zilizouzwa kuwa ni Robusta tani 22,320
Arabika laini (Mild Arabica) 32,057 na Arabika ngumu (Hard Arabica)
tani 1,602 na kuingiza mapato yenye thamani ya Dola za kimarekani
87,527,779 mwaka 2019.

Alitaja
sababu ya kufikia mafanikio haya kuwa ni bei nzuri katika soko la
dunia na kuongezeka kuwa ubora wa kahawa ya Tanzania iliyokusanywa toka
vyama vya ushirika.

Jamal alitaja changamoto inayoikabili bodi ya kahawa ni uzalishaji
mdogo wa miche bora ya kahawa nchini, ambapo mwaka 2019 walizalisha
miche milioni 3.6 kati ya lengo la kuzalisha miche milioni 8.

“Tutaendelea
kushirikiana watafiti hususani TARI kuwekeza katika utafiti wa miche
ili kufikia lengo la Wizara kuongeza wigo wa wakulima kupanda kahawa
bora ” alisema Prof Jamal

Wakati
huo huo Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ameagiza watafiti wa madawa na
viuatilifi nchini kutumia zao la pareto kuzalisha viuatilifu bora kwa
matumizi ya wakulima.

Hasunga
alisema hayo kufuatia taarifa iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mkuu wa
Bodi ya Pareto Lucas Ayo kusema Tanzania inashika nafasi ya kwanza
Afrika na ya pili duniani kwa uzalishaji wa pareto.

‘’Ni
wakati sasa wataalamu kutumia pareto kuzalisha madawa na viutilifu bora
kwenye viwanda vya ndani ili kukidhi soko la wakulima na kuepusha uwepo
wa viuatiflifu visivyo na ubora”alisisitiza Hasunga

Taarifa
hiyo ya Bodi ya Pareto ilionesha kuwa hadi kufikia Desemba 2019 tani
1,627 kati ya lengo la tani 2,600 za pareto zilizalishwa nchini na
kuliingiza taifa mapato ya shilingi Bilioni 4.28 kufikia Disemba 2019.

mchango kuhusu umuhimu wa utafiti, Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Utafiti
wa Kilimo (TARI) Dkt Geofrey Mkamilo alisema “ tupo tayari kushirikiana
na bodi zote za mazao kufantya tafiti zitakazokuja na suluhisho la tija
ya mazao kuongezeka” hivyo akashauri bodi za mazao kujipanga kifedha .

Takwimu
za uzalishaji mazao nchini zinaonesha kupungua kwa uzalishaji na ubora
kwenye mazao ya biashara nchini hali inayopelekea nchi kukosa mapato ya
kutosha, hivyo kuhitaji utafiti.

wa Kilimo anaendelea na vikao vya Menejimenti kupitia taarifa za
utendaji kazi wa Bodi za Mazao na Taasisi zote zilizo chini ya Wizara
yake na kuweka malengo na mikakati ya kuimarisha utendaji kazi kwa mwaka
2020/2021.