Watumishi
wa Wizara Maliasili na Utalii washiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku
ya Wanawake Duniani yaliyofanyika leo kimkoa katika Wilaya ya
Bahi,jijini Dodoma.
Baadhi
ya watumishi Wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakimsikiliza mgeni rasmi
wakati Wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa
wilayani Bahi, jijini Dodoma Watumishi
Wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenye maandamano wakati Wa
kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kilichofanyika kimkoa
wilaya ya Bahi