Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Serikali imesema zaidi ya Shilingi Bilioni 49 zitatumika kukarabati
na kupanua uwanja wa ndege wa Shinyanga,kwa
ufadhili wa Benki ya uwekezaji ya Ulaya (EIB).
Katika taarifa yake kwa Mkuu
wa Wilaya ya Shinyanga, TANROADS na
wadau wengine wa usafiri wa anga, Meneja miradi viwanja vya ndege TANROADS Nchini,
Mhandisi Neema Joseph amesema mradi huo umeanza Aprili Mwaka huu na unatarajiwa
kukamilika ifikapo Mwezi Oktoba Mwaka 2024.
Meneja huyo amefafanua
hatua mbalimbali zilizofikiwa ikiwemo ukarabati wa Barabara ya kutua na kurukia
ndege, ununuzi na usimikaji wa mitambo ya usalama pamoja na ujenzi wa jengo la
abiria.
“Kiwanja
cha ndege Shinyanga ni miongoni mwa viwanja vya ndege muhimu Nchini, kiwanja
hiki kinatarajiwa kuharakisha usafiri kwa wananchi pamoja na kuchochea ukuaji
wa uchumi hususani katika sekta za madini na kilimo”.
“Kazi
zinazofanyika ni ukarabati wa barabara ya kutua na kurukia ndege (Runway) kwa
kiwango cha lami, ukarabati wa barabara ya kiungio na maegesho ya ndege kwa
kiwango cha lami, ujenzi wa jengo la abiria ( pamoja na ATC) na huduma za hali
ya hewa lakini pia ujenzi wa barabara ya kuingia uwanjani”.
“Kazi
zingine pia ni ujenzi wa maegesho ya magari, ujenzi wa uzio wa usalama, ununuzi
na usimikaji wa taa za kuongezea ndege (AGL), ununuzi na usimikaji wa mitambo
ya usalama (DVORDME) pamoja na ujenzi wa kituo cha umeme (Enegry centre)
tunatarajia wadau wote mtatupa ushirikiano katika kufikia lengo hili”.amesema
Mhandisi Neema Joseph
Akizungumza katika mkutano
huo uliohusisha wadau wa usafiri wa anga na TANROADS, mkuu wa Wilaya ya
Shinyanga Bi. Johari Samizi ambaye alikuwa mgeni rasmi ametoa wito kwa wananchi
wa Wilaya ya Shinyanga na maeneo mengine ya Mkoa kutambua na kuzichangamkia fursa
zitakazojitokeza katika mradi huo.
DC Samizi amewakumbusha pia wakala wa barabara TANROADS
Mkoa wa Shinyanga kusimamia ipasanyo hatua zinazoendelea za ukarabati na
upanuzi katika uwanja huo wa ndege ili uweze kukamilika kwa wakati na kwa kiwango kinachotakiwa.
“Nitoe
rai yangu kwa TANROADS hili jukumu mnatakiwa mlisimamie linavyotakikana thamani
ya fedha ambayo inakwenda kuwekwa hapa ionekane siku ambayo mradi huu unakwenda
kukamilika na kukabidhiwa”.amesema DC Samizi
Meneja wa TANROADS Mkoa
wa Shinyanga mhandisi Mibara Ndirimbi ameahidi kusimamia mradi huo kikamilifu ili uweze kukamilika kwa wakati na kiwango chenye ubora ambapo amewaomba
wananchi kushirikiana katika ulinzi wa mali zitakazotumika kwenye mradi huo.
Baadhi ya wadau waliohudhuria hafla hiyo wameipongeza
serikali kwa hatua hiyo na kwamba wameahidi kuendelea kushirikiana katika hatua
mbalimbali za mradi huo ili kuleta matokeo chanya Mkoa wa Shinyanga.
Wadau wa Usafiri
wa anga wakiwa katika uwanja wa Ndege uliop0 kata ya Ibadakuli Mkoani Shinyanga leo Jumanne Mei
30,2023.
Viongozi
mbalimbali na wadau wa Usafiri wa anga wakitembelea uwanja wa ndege uliop0 kata
ya Ibadakuli Mkoani Shinyanga leo
Jumanne Mei 30,2023.

Meneja wa
TANROADS Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Mibara Ndirimbi akizungumza kwenye mkutano
wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS katika uwanja wa ndege wa Shinyanga leo
Mei 30,2023.
Meneja wa
TANROADS Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Mibara Ndirimbi akizungumza kwenye mkutano
wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS katika uwanja wa ndege wa Shinyanga leo
Mei 30,2023.
Meneja miradi viwanja vya
ndege, TANROADS Nchini Mhandisi Neema Joseph akizungumza
kwenye mkutano wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS katika uwanja wa ndege
wa Shinyanga leo Mei 30,2023.
Meneja miradi viwanja vya
ndege, TANROADS Nchini Mhandisi Neema Joseph akizungumza
kwenye mkutano wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS katika uwanja wa ndege
wa Shinyanga leo Mei 30,2023.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza
kwenye mkutano wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS katika uwanja wa ndege
wa Shinyanga leo Mei 30,2023.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS katika uwanja wa ndege wa Shinyanga leo Mei 30,2023.
Katibu wa CCM
Wilaya ya Kishapu, Peter Mashenji akizungumza
kwenye mkutano wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS katika uwanja wa ndege
wa Shinyanga leo Mei 30,2023.
Mhandisi
wa Mradi wa Ujenzi wa uwanja wa Ndege Shinyanga kutoka TANROADS, Donatus
Binemungu akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa usafiri wa anga na
TANROADS katika uwanja wa ndege wa Shinyanga leo Mei 30,2023.
Mkutano
wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS ukiendelea katika eneo la uwanja wa
ndege wa Mkoani Shinyanga leo Mei 30,2023

Nasser Elgohary upande wa kulia akionesha ramani
ya ujenzi wa uwanja wa ndege uliopo kata ya Ibadakuli Mkoani Shinyanga leo Mei
30,2023
Nasser Elgohary akionesha ramani

Mdau wa
usafiri wa anga, meneja usalama mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania Bwana Clemence
Jingu Mbaruck akimwakilisha mkurugenzi
wa TAA katika mkutano wa Wadau wa usafiri wa anga na TANROADS kwenye uwanja wa Ndege wa Shinyanga.
Mkurugenzi wa
Miundombinu na Huduma za ufundi kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Dk. Pascal
Waniha akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa usafiri wa anga na
TANROADS katika uwanja wa Ndege wa Shinyanga leo Mei 30,2023.
Mdau wa
usafiri wa anga,Gabriel John kutoka kitengo cha usalama wa oparesheni za ndege akizungumza
kwenye mkutano wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS katika uwanja wa Ndege wa Shinyanga leo Mei 30,2023.
katika uwanja wa Ndege wa Shinyanga leo
Mei 30,2023.
katika uwanja wa Ndege wa Shinyanga leo
Mei 30,2023.
akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa usafiri wa anga na TANROADS katika uwanja wa Ndege wa Shinyanga leo Mei 30,2023.Mwonekano wa majengo ya awali katika uwanja wa ndege Mkoani Shinyanga.