Klabu ya Aston Villa ya England, imetangaza kumsajili mshambuliaji wa kimataifa kutoka Tanzania Mbwana Samatta.
Usajili
wa Mbwana Samatta unatarajiwa kuimarisha safu ya mashambulizi ya timu
ya Aston Villa ambayo imekuwa ikilegalega katika ligi ya Premier.

Aston
Villa imecheza mechi zake tatu zilizopita bila mshambuliaji wa
kutambuliwa baada ya mshambuliaji wao raia wa Brazil Wesley Moraes
kujeruhiwa hivyo kutoweza kucheza tena msimu huu.

Samatta
aliyekuwa akiichezea klabu ya Genk nchini Ubelgiji, amefunga mabao kumi
katika mechi zote likiwemo bao alofunga dhidi ya Liverpoool katika ligi
ya Mabingwa uwanjani Anfield

Yeye ndiye mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kuwahi kusajiliwa na timu katika ligi ya Premier.