Kelvin john ajiunga na akademi ya leicester city wakati akiendelea na masomo england

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin John akiwa na
chipukizi mwenzake wa akademi ya Leicester City katika kambi yao, Holmes
Park, Belvoir Drive Training Complex jana. Kelvin amejiunga na academy
ya Leicester City kufuatia kwenda England kwa masomo